Alhamisi, 2 Aprili 2015

VIDEO/PICHA:ASKOFU GWAJIMA AZUNGUMZA NA KANISA LEO.AMTAJA ADUI YAKE WAZI.

G17
Askofu Dr Gwajima baada ya kutolewa jana ostarbey alipokwenda kuhojiwa,leo majira ya saa kumi na mbili kasoro alizungumza na Kanisa lake na kueleza kile kilicho tokea hadi kupelekea yeye kukaa kwenye kiti na kushindwa kutembea.Akiongea na maelfu ya waumini walio jitokeza katika ibada ya leo Askofu Gwajima alisema haya….NANUKU-“Najua kinacho endelea namuombea mtu mmoja aliyeko hapa nasema nakufahamu vizuri nakujua vizuri na kwambia utafanikiwa kwa jina la Yesu…..huta fanikiwa kwa jina la Yesu.Usifurahi leo kuniona nimekaa kwenye kiti hiki bado nina maumivu,bado sina nguvu lakini nimesema leo lazima niende nyumbani mwa Bwana.
Wewe ni mtoto mdogo ujatoka mbali….mimi nimewahi kua sitembei kwa miaka 6,huyu aliye nifanya nitembe hawezi kukubali nikae kwenye hiki kiti tena…unatakiwa ujue”Mwisho wa Nukuu
Tazama picha za ibada ya leo jioni pamoja na video hapo chini.
G1
G2
G3
G4
Safu ya wachungaji wa Ufufuo na Uzima.
G5
G6
G7
Mwanaume wa wanaume Dr.Askofu Gwajima akiabudu.
G8
G9
G10
Huyu Dada hatariiii katika Vocal
G11
G12
G13
G14
G15
Baada ya kutoa taamko kwa Kanisa….Bishop Gwajima alifanya maombi kwa Nchi,Rais,Wabunge,Wakurugenzi,Polisi na washirika.
G16
Mdau wangu endelea kumuombea Askofu Gwajima Mungu amponye haraka na kumtia nguvu katika kipindi hiki.

Hakuna maoni:

Unordered List

Download

Contact Us

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *