Watu wengi hushindwa kuelewa maandiko maana walevi wote walio makansisani wamekariri andiko la 1 Timotheo 5:23 kama silaha yao kwa ajili ya kuhararisha ulevi. kiongozi wa kiroho anahararisha ulevi kwa kutumia andiko hilo. Nimeshaulizwa mara nyingi sana kuhusu andiko hilo. Ngoja nifafanue kuhusu andiko hilo. 1 Timotheo 5:23 '' Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara. '' -Timotheo anaambiwa kutumia mvinyo kwa sababu ya ugonjwa wa tumbo uliokuwa unamsumbua mara kwa mara. Je wanaotumia andiko hilo kunywa pombe wanakuwa wanaumwa tumbo au?. Dawa ya Timotheo iliitwa mvinyo kwa lengo la kutibu tubu na Paulo hakumaanisha kwamba Timotheo awe mnywa pombe kama walevi wa leo walivyo. Hata ukiamua kuwa mtu wa rohoni tu uatagundua kwamba pombe ni dhambi. Na Paulo huyo huyo ndiye aliyekataza kunywa mvinyo soma Waefeso 5:18 ambapo Biblia inasema '' Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho; '' Wengine hudanganyana kwamba BWANA YESU aligeuza maji kuwa pombe kumbe ni maji yaligeuzwa kuwa juice maana hakuna hata mmoja aliyelewa katika harusi ya Kana. Kama Divai ile nyingi vile ingekuwa Pombe si tungesikia watu wengi wakianza kuombewa ili wapone baada ya kupata majeraha yaliyosababishwa na pombe maana divai ilikuwa nyingi na tena tamu sio chungu kama pombe. na jambo la muhimu kujua kwa kila mtu ni kwamba hata leo zipo juice nyingi za zinazotokana na zabibu/divai na sio pombe. Ndizi ni nzuri lakini ndizi hiyo hiyo iliyoiva ukiiacha wiki 2 kisha ukaila utakuta imekuwa tofauti na inaweza ikawa na kazi tofauti na ndizo iliyiovaa kawaida maana kwa muda huu itakuwa imeoza, hata zabibu lazima tujue kwamba sio kila neno divai linamaanisha pombe. kuna juice ya zabibu na kuna pombe pia, pombe ni dhambi. Ndugu Yangu, MUNGU Anahitaji 1. Uokoke Kwa Kumpokea BWANA YESU na kuliishi Neno la MUNGU. 2. Ishi Kulingana Na Neno La MUNGU. Mathayo 18:3 ''akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni'' Ubarikiwe Sana Na Jitahidi Kubadilika na kuacha kufanya dhambi uifanyayo, Na BWANA YESU Atakupa Uzima Wa Milele. -Kataa pombe na usinywe pombe. -Pombe ni ibada ya sanamu na ina madhara mengi. Isaya 5:11 '' Ole wao waamkao asubuhi na mapema, wapate kufuata kileo; wakishinda sana hata usiku wa manane mpaka mvinyo imewaka kama moto ndani yao! '' Kwa sasa naishia hapo, MUNGU akitupa nafasi tutajifunza tena siku nyingine.na kama hujampokea BWANA YESU muda wa kumpokea ni leo wala sio kesho, amua leo na atakuandika jina lako katika kitabu cha uzima na utaanza kuukulia wokovu kwa mafundisho kanisani. MUNGU ana makusudi kabisa na wewe, hataki upotelee motoni anataka uende uzimani aliko KRISTO BWANA. MUNGU akubariki sana .
Jumatano, 8 Aprili 2015
KATAA POMBE MAANA POMBE NI DHAMBI

About Director Hezron Marwa
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni