Akiwa katika ibada mchungaji Gwajima alifafanua urafiki wake na Mh Lowasa na Dr slaa na kusema hawezi kuacha urafiki wake na kukaa mbali na watu wanaokaribia uraisi kwa sababu yeye si mjinga wala hajarogwa.Sikiliza Audio hapo chini akieleza vizuri kuhusu urafiki wake na Lowasa pamoja na Dr.Slaa
https://www.hulkshare.com/kupeb7gr7g1s
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni