Jumatano, 13 Mei 2015

MR.DAVID MACHAGE MARWA KUZIKWA LEO ALHAMISI 14/05/2015

Mdogo wangu David Machage Marwa , ameuawa kikatili mno, hata picha za tukio nimeshindwa kuzitumia kutokana na maadili, zinaonesha jinsi muuaji alivyomchomachoma kwa kisu kivuani na tumboni bila hata huruma.

David Marwa Magwe kulingana na uchunguzi wa daktari alidungwa kisu kutoka upande mmoja wa tumbo hadi upande wa pili!
DAVID MARWA HAKUNA SIKU IPIMEPITA KWETU BILA KUKUMBUKA KWA UPENDO NA UKARIMU WAKO,USHAURI MWEMA, MISIMAMO BORA NA BUSARA ZAKO ,BUSARA ZAKO ZIMEKUWA DIRA NA NURU KATIKA MAISHA YETU.TUNAENDELEA KUKUOMBEA NA TUNAENDELEZA YALIYO MEMA KWA KWA MARAFIKI ZAKO, NDUGU ZAKO , WANACHUO WENZAKO. UPUMZIKE KWA AMANI.
DAIMA TUTAKUKUMBUKA.WOTE,NDUGU JAMAA NA MARAFIKI PAMOJA NA WAUMINI WENZAKO.DAIMA TUTAKUKUMBUKA MILELE.
MDOGO WANGU TULIKUPENDA SANA, LAKINI MUNGU BABA WA MBINGUNI ALIKUPENDA ZAIDI.BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE:
 TUNAFARIJIKA KWASABABU TUNA AMANI UKO PAMOJA NASI KIROHO SIKU ZOTE.
BY YOUR LOVELY BROTHER 
HEZRON MARWA AKA HEZRON MWANAFUNZI WAYESU
 



Hakuna maoni:

Unordered List

Download

Contact Us

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *