Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania
(TPA), Mhandisi Aloyce Matei, akitoa ufafanuzi wa gati zilizo katika bandari hiyo kuhusu kwa
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania
(TPA), Mhandisi Aloyce Matei, akitoa ufafanuzi kuhusu namna Kamera zinazoendelea
kufungwa katika Bandari hiyo kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu,
waliotembelea Mamlaka hiyo leo Asubuhi.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania
(TPA), Mhandisi Aloyce Matei, akiwaonyesha Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Miundombinu eneo itakapojengwa gati ya 13 na 14.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Kupakia na Kupakua Mizigo Bandarini
(TICTS), Paul Wallace akiwaeleza Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu namna
kampuni hiyo inavyohudumia makontena katika bandari ya Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Sehemu ya
Uchukuzi, Dkt. Leornard Chamuriho akitoa taarifa ya namna Wizara inavyosimamia Mamlaka
zilizo chini yake,wakati Kamati ya Bunge ya MIundombinu, ilipotembelea Mamlaka ya
Bandari(TPA).
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania
(TPA), Mhandisi Aloyce Matei, akifafanua jambo kwa Kamati ya Bunge ya Miundombinu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni