Jumamosi, 25 Julai 2015

ROHO WA MUNGU ATEMBEA MZIMAMZIMA KATIKA IBADA YA SIFA NA KUABUDU FPCT BOKO

Mkesha wa ibada ya kusifu na kuabudu uliofanyika katika kanisa la FPCT BOKO linalo hungwa na Mch ELIJAH MTISHIBI nje kidogo ya jiji la Dar es salaam Tanzania. Hakika ulikua ni mkesha wa baraka saana. fuatilianpicha
Mchungaji Elijah Mtishibi (wa kwanza kushoto) na mkalimani wake Gabilo Hossea wakato aliokua akifundisha somo maalumu kwenye mkesha huo lilikua likielezea jinsi ambavyo Mungu anaweza kumuinua bila ya kujali vile mtu mwenyewe alivyo kwani Mungu anavyo mtazama mtu ni tofauti saana na anavyo muwazia. Usikate tamaa wala kujidhalau Mungu yupo kwaajili ya watakatifu.










Mchungaji Elijah akifanya maombezi


Mtume Moses akiendelea kufanya maombi


Mtume Moses akifany maombi na maembezi kwa moja ya watu walikuwapo kwa mkesha huo



John Gabriel akiongoza  sifa

Mzee  wa kanisa la FPCT Boko Samweli Mtiana akimwinulia Mungu sifa katika sifa na kuabudu.

Mchungji Elijah Mtishibi akifundisha kwa mifano hapa alaikua akilezea jinsi ambavyo Mungu anaweza kumuinua mtu na kumweka mahala pa juu sana kuliko amabvyo inavyoweza kutegemewa. Licha watu kukuksema na kukuona vibaya wewe usikate tamaa iposiku Mungu atakuinua.

Mwimbaji Gabilo Hossea  akimwimbia Mungu .

Mwinjilisti Hezron Mwanafunzi wa Yesu akiwa anaimba







Hakuna maoni:

Unordered List

Download

Contact Us

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *