SIKU YA SABA (7) YA MKUTANO WA INJILI NDANI YA VIWANJA VYA TAG PICHA YA NDEGE KIBAHA PWANI MUBIRI WA KIMATAIFA PASCAL MANDE AKIHUBIRI NA HUKU AKISHUDIA NAMNA ALIVYOWEZA KUOKOKA NA KUACHANA NA TABIA ZILE CHAFU ZA UKATILI MTAANI, FUJOO , WIZO, KIBAKA, NA MENGINE MENGI NA AKITOA SIRI KUBWA SANA NAMNA YESU ALIPOMTOKEA ALIMUELEKEZA AENDE KANISA GANI. KARIBU SANA NDUGU ZANGU LEO NDO SIKU YA NANE YA MKUTANO NA NDO ITAKUWA HITIMISHO HUKU NJEE KISHA TUTAAMIA NDANI KWA AJILI YA SEMINA NA MUNGU AKUBARIKI.
SIKU YA SABA (7) YA MKUTANO WA INJILI NDANI YA VIWANJA VYA TAG PICHA YA NDEGE KIBAHA PWANI MUBIRI WA KIMATAIFA PASCAL MANDE AKIHUBIRI NA HUKU AKISHUDIA NAMNA ALIVYOWEZA KUOKOKA NA KUACHANA NA TABIA ZILE CHAFU ZA UKATILI MTAANI,
|
AMANI KWAYA WAKIMWIMBIA MUNGU |
|
DAUDI SAMWELI |
SIKU YA SABA (7) YA MKUTANO WA INJILI NDANI YA VIWANJA VYA TAG PICHA YA NDEGE KIBAHA PWANIKWAYA KUU YA KANISA LA TAG PICHA YA NDEGE SHALOM CHOIR WAKIMWIMBIA MUNGU,
|
SHALOM CHOIR |
|
MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI DADA NEEMA CHAVALLA |
|
ASKOFU SPEAR MWAIPOPO WAPILI KUTOKA KULIA HUKU AKIWA NA MCHUNGAJI PASCAL MANDE NA WACHUNGAJI WENGINE WAKIELENDELEA KUMSHUKURU MUNGU KWA WEMA WAKE |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni