Jumamosi, 28 Machi 2015

RAIS KIKWETE AMESEMA SERIKALI HAIWEZI KUANZISHA WALA KUIENDESHA NA KUIHUDUMIA MAHAKAMA YA KADHI


Rais Kikwete amesema serikali haiwezi kuanzisha wala kuiendesha na kuihudumia Mahakama ya Kadhi na ameongeza kuwa hilo ni jukumu la Waislamu wenyewe na kwamba hawazuiliwi kuianzisha Mahakama hiyo na kwamba hayo ndio yalikuwa makubaliano.
Pia,Raisi Kikwete amesema tamko la viongozi wa dini kuhusu swala la katiba mpya, limemshangaza, limemfedhehesha na kumsikitisha sana.
Raisi Kikwete ameyasema hayo katika kikao cha kamati ya amani cha viongozi wa dini wa mkoa wa Dar-es-salaam. 




Hakuna maoni:

Unordered List

Download

Contact Us

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *